Lamentations 5:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakuu wetu wametungikwa kwa mikono yao; wazee wetu hawapewi heshima yoyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao, wazee hawapewi heshima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakuu hutungikwa kwa mikono yao; Nyuso za wazee hazipewi heshima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakuu wetu wametungikwa kwa mikono yao; wazee wetu hawapewi heshima yoyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao, wazee hawapewi heshima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao, wazee hawapewi heshima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakuu hutundikwa kwa mikono yao; Nyuso za wazee hazipewi heshima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakuu wetu wametungikwa kwa mikono yao; wazee wetu hawapewi heshima yoyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakuu wakanyongwa kwa mikono yao, nazo nyuso za wazee hazikupewa macheo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakuu hutungikwa kwa mikono yao; Nyuso za wazee hazipewi heshima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wetu wametundikwa kwa mikono yao; wazee wetu hawapewi heshima yoyote.