Lamentations 5:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vijana wanalazimishwa kusaga nafaka kwa mawe, wavulana wanayumbayumba kwa mizigo ya kuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia, wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vijana huyachukua mawe ya kusagia; Na watoto hujikwaa chini ya kuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vijana wanalazimishwa kusaga nafaka kwa mawe, wavulana wanayumbayumba kwa mizigo ya kuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vijana wanaume wanataabika kwenye mawe ya kusagia, wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia, wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vijana huyachukua mawe ya kusagia; Na watoto hujikwaa chini ya kuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vijana wanalazimishwa kusaga nafaka kwa mawe, wavulana wanayumbayumba kwa mizigo ya kuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vijana hutwikwa majiwe ya kusagia, watoto huvunjwa na mizigo ya kuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vijana huyachukua mawe ya kusagia; Na watoto hujikwaa chini ya kuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vijana wanalazimishwa kusaga ngano kwa mawe, watoto wanayumbayumba kwa mizigo ya kuni.