Lamentations 5:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazee wameacha kutoa mashauri yao, vijana wameacha kuimba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazee wameondoka katika lango la mji, vijana wameacha kuimba nyimbo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazee wameacha kwenda langoni; Na vijana kwenda ngomani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazee wameacha kutoa mashauri yao, vijana wameacha kuimba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazee wameondoka toka lango la mji, vijana wa kiume wameacha kuimba kwa vinanda vyao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazee wameondoka langoni la mji, vijana wameacha kuimba nyimbo zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazee wameacha kwenda langoni; Na vijana kwenda ngomani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazee wameacha kutoa mashauri yao, vijana wameacha kuimba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wazee walipoyaacha maongezi ya malangoni, nao vijana wakayakomesha mazeze yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazee wameacha kwenda langoni; Na vijana kwenda ngomani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazee wameacha kutoa mashauri yao, vijana wameacha kuimba.