Lamentations 5:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fahari tuliyojivunia imetokomea. Ole wetu kwa kuwa tumetenda dhambi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Taji limeanguka kutoka kichwani petu. Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Taji ya kichwa chetu imeanguka; Ole wetu! Kwa kuwa tumetenda dhambi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fahari tuliyojivunia imetokomea. Ole wetu kwa kuwa tumetenda dhambi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Taji imeanguka kutoka kichwani petu. Ole wetu, kwa maana tumetenda Dhambi!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Taji imeanguka kutoka kichwani petu. Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Taji ya kichwa chetu imeanguka; Ole wetu! Kwa kuwa tumetenda dhambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fahari tuliyojivunia imetokomea. Ole wetu kwa kuwa tumetenda dhambi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vilemba vilivyovipamba vichwa vyetu vimekwisha kuanguka chini, tukapatwa na mabaya, kwa kuwa tumekosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Taji ya kichwa chetu imeanguka; Ole wetu! Kwa kuwa tumetenda dhambi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Taji tuliojivunia imeanguka. Ole kwetu maana tumetenda zambi!