Lamentations 5:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa ajili hiyo tumeugua moyoni, kwa mambo hayo macho yetu yamefifia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu hiyo, mioyo yetu inazimia, kwa sababu ya hayo, macho yetu yamefifia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo mioyo yetu imezimia; Kwa ajili ya hayo macho yetu hayaoni vema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa ajili hiyo tumeugua moyoni, kwa mambo hayo macho yetu yamefifia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu ya hiyo mioyo yetu inazimia, kwa sababu ya mambo haya macho yetu yamefifia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu hiyo, mioyo yetu inazimia, kwa sababu ya hayo, macho yetu yamefifia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo mioyo yetu imezimia; Kwa ajili ya hayo macho yetu hayaoni vema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa ajili hiyo tumeugua moyoni, kwa mambo hayo macho yetu yamefifia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mioyo yetu imezimia, kwa hiyo macho yetu nayo yameguiwa na giza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo mioyo yetu imezimia; Kwa ajili ya hayo macho yetu hayaoni vema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ajili ya hiyo tumeugua ndani ya moyo, kwa ajili ya hiyo macho yetu yamefifia.