Lamentations 5:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana mlima Siyoni umeachwa tupu, mbweha wanazurura humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu Mlima Sayuni umekaa ukiwa, na mbweha wanatembea juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa ajili ya mlima Sayuni ulio ukiwa, Mbweha hutembea juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana mlima Siyoni umeachwa tupu, mbweha wanazurura humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa, mbweha huzungukazunguka juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa, nao mbweha wanatembea juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa ajili ya mlima Sayuni ulio ukiwa, Mbweha hutembea juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana mlima Siyoni umeachwa tupu, mbweha wanazurura humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni kwa ajili ya mlima wa Sioni ulioko peke yake, kwa kuwa ni mbweha tu wanaotembea huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa ajili ya mlima Sayuni ulio ukiwa, Mbweha hutembea juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana mulima Sayuni umeachwa utupu, mbweha wanazungukazunguka humo.