Lamentations 5:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wewe Mwenyezi-Mungu watawala milele, utawala wako wadumu vizazi vyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe, Ee Mwenyezi Mungu unatawala milele, kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe, Bwana, unadumu milele; Kiti chako cha enzi ni tangu kizazi hata kizazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wewe Mwenyezi-Mungu watawala milele, utawala wako wadumu vizazi vyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe, Ee BWANA tawala milele, kiti chako cha enzi chadumu kutoka kizazi mpaka kizazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe, Ee bwana unatawala milele, kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe, BWANA, unadumu milele; Kiti chako cha enzi ni tangu kizazi hata kizazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wewe Mwenyezi-Mungu watawala milele, utawala wako wadumu vizazi vyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe Bwana, unakaa kale na kale, kiti chako cha kifalme kiko kwa vizazi na vizazi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe, BWANA, unadumu milele; Kiti chako cha enzi ni tangu kizazi hata kizazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe Yawe unatawala milele, kiti chako cha kifalme kinadumu kwa vizazi vyote.