Lamentations 5:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uturekebishe ee Mwenyezi-Mungu, nasi tukurudie, uturudishie fahari yetu kama zamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Turudishe kwako mwenyewe, Ee Mwenyezi Mungu, ili tupate kurudi. Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, utugeuze kwako, nasi tutageuka; Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uturekebishe ee Mwenyezi-Mungu, nasi tukurudie, uturudishie fahari yetu kama zamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uturudishe kwako mwenyewe, Ee BWANA, ili tupate kurudi; zifanye mpya siku zetu kama siku za kale,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Turudishe kwako mwenyewe, Ee bwana, ili tupate kurudi. Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, utugeuze kwako, nasi tutageuka; Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uturekebishe ee Mwenyezi-Mungu, nasi tukurudie, uturudishie fahari yetu kama zamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, turudishe kwako! Ndivyo, tutakavyopata kurudi; siku zetu zigeuke kuwa mpya tena kama zile zilizopita!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, utugeuze kwako, nasi tutageuka; Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utugeuze, ee Yawe, kusudi tukurudilie. Uturudishie hali ya zamani.