Lamentations 5:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maji yetu tunayapata kwa fedha, kuni zetu kwa kuzinunua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni lazima tununue maji tunayokunywa, kuni zetu zapatikana tu kwa kununua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tumekunywa maji yetu kwa fedha; Kuni zetu twauziwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maji yetu tunayapata kwa fedha, kuni zetu kwa kuzinunua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni lazima kununua maji tunayokunywa, kuni zetu zinaweza kupatikana tu kwa kununua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni lazima tununue maji tunayokunywa, kuni zetu zapatikana tu kwa kununua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tumekunywa maji yetu kwa fedha; Kuni zetu twauziwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maji yetu tunayapata kwa fedha, kuni zetu kwa kuzinunua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maji yetu tunayanywa tukiyanunua kwa fedha, kuni zetu nazo tunazipata tu tukizilipa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tumekunywa maji yetu kwa fedha; Kuni zetu twauziwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maji yetu tunayapata kwa feza, kuni zetu kwa kuzinunua.