Lamentations 5:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tunalazimishwa kufanya kazi kama punda, tumechoka lakini haturuhusiwi kupumzika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaotufuatilia wapo kwenye visigino vyetu, tumechoka na hakuna pumziko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watufuatiao wa juu ya shingo zetu; Tumechoka tusipate raha yo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tunalazimishwa kufanya kazi kama punda, tumechoka lakini haturuhusiwi kupumzika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale ambao wanatufuatilia wapo kwenye visigino vyetu, tumechoka na hakuna pumziko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaotufuatilia wapo kwenye visigino vyetu, tumechoka na hakuna pumziko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watufuatiao wako juu ya shingo zetu; Tumechoka, tusipate pumziko lolote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tunalazimishwa kufanya kazi kama punda, tumechoka lakini haturuhusiwi kupumzika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watukimbizao wako penye shingo zetu; tunapochoka hatuoni pa kupumzika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watufuatiao wa juu ya shingo zetu; Tumechoka tusipate raha yo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tunalazimishwa kufanya kazi kama punda, tumechoka, lakini haturuhusiwi kupumzika.