Lamentations 5:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watumwa ndio wanaotutawala, wala hakuna wa kutuokoa mikononi mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watumwa wanatutawala na hakuna wa kutuokoa mikononi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watumwa wanatutawala; Hakuna mtu wa kutuokoa na mikono yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watumwa ndio wanaotutawala, wala hakuna wa kutuokoa mikononi mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watumwa wanatutawala na hakuna ye yote wa kutuweka huru kutoka katika mikono yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watumwa wanatutawala na hakuna wa kutuokoa mikononi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watumwa wanatutawala; Hakuna mtu wa kutuokoa na mikono yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watumwa ndio wanaotutawala, wala hakuna wa kutuokoa mikononi mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watumwa ndio wanaotutawala, lakini hakuna anayetupokonya mikononi mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watumwa wanatutawala; Hakuna mtu wa kutuokoa na mikono yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watumwa wanatutawala, wala hakuna wa kutuokoa toka katika mikono yao.