Lamentations 5:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chakula chetu twapata kwa kuhatarisha maisha yetu, maana wauaji wanazurura huko mashambani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu kwa sababu ya upanga jangwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Twapata chakula kwa kujihatarisha nafsi zetu; Kwa sababu ya upanga wa nyikani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chakula chetu twapata kwa kuhatarisha maisha yetu, maana wauaji wanazurura huko mashambani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu kwa sababu ya upanga jangwani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu kwa sababu ya upanga jangwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Twapata chakula kwa kujihatarisha nafsi zetu; Kwa sababu ya upanga wa nyikani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chakula chetu twapata kwa kuhatarisha maisha yetu, maana wauaji wanazurura huko mashambani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tunaziponza roho zetu tukijichumia vyakula, kwa kuwa nako nyikani ziko panga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Twapata chakula kwa kujihatarisha nafsi zetu; Kwa sababu ya upanga wa nyikani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chakula chetu tunakipata kwa kuhatarisha maisha yetu, maana wauaji wanazungukazunguka katika jangwa.