Leviticus 1:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ikiwa anamtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa ya ndege, basi, ataleta sadaka yake ya hua au kinda la njiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Ikiwa sadaka inayotolewa kwa Mwenyezi Mungu ni sadaka ya kuteketezwa ya ndege, atamtoa hua au kinda la njiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na matoleo yake atakayomtolea Bwana kuwa sadaka ya kuteketezwa, kwamba ni katika ndege, ndipo atakapoleta matoleo yake katika hua au katika makinda ya njiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ikiwa anamtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa ya ndege, basi, ataleta sadaka yake ya hua au kinda la njiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kama sadaka ya kuteketezwa inayotolewa kwa BWANA ni ndege, atamtoa hua au kinda la njiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kama sadaka ya kuteketezwa inayotolewa kwa bwana ni ndege, atamtoa hua au kinda la njiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa matoleo yake atakayomtolea BWANA kuwa sadaka ya kuteketezwa, ni ya ndege, ndipo atakapoleta matoleo yake katika hua au katika makinda ya njiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ikiwa anamtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa ya ndege, basi, ataleta sadaka yake ya hua au kinda la njiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama toleo lake, analomtolea Bwana kuwa ng'ombe ya tambiko ya kuteketezwa nzima, ni ndege, basi, sharti apeleke hua au kinda la njiwa manga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na matoleo yake atakayomtolea BWANA kuwa sadaka ya kuteketezwa, kwamba ni katika ndege, ndipo atakapoleta matoleo yake katika hua au katika makinda ya njiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa anamutolea Yawe sadaka ya kuteketezwa ya ndege, basi, ataleta sadaka yake ya hua au kitoto cha njiwa.