Leviticus 1:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao makuhani wazawa wa Aroni watazipanga kuni juu ya madhabahu na kuwasha moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Haruni kuhani wataweka moto juu ya madhabahu na kupanga kuni juu ya huo moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wana wa Haruni, watatia moto juu ya madhabahu, na kuzipanga kuni juu ya moto,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao makuhani wazawa wa Aroni watazipanga kuni juu ya madhabahu na kuwasha moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Aroni kuhani wataweka moto juu ya madhabahu na kupanga kuni juu ya huo moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Haruni kuhani wataweka moto juu ya madhabahu na kupanga kuni juu ya huo moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wana wa Haruni, watatia moto juu ya madhabahu, na kuzipanga kuni juu ya moto,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao makuhani wazawa wa Aroni watazipanga kuni juu ya madhabahu na kuwasha moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wana wa Haroni walio watambikaji watie moto hapo pa kutambikia na kupanga kuni juu ya moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wana wa Haruni, watatia moto juu ya madhabahu, na kuzipanga kuni juu ya moto,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao makuhani wazao wa Haruni watazipanga kuni juu ya mazabahu na kuwasha moto.