Leviticus 1:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha makuhani hao watachukua vile vipande vya nyama, kichwa na mafuta, na kuviweka juu ya kuni juu ya madhabahu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha hao wana wa Haruni walio makuhani watapanga vile vipande vya nyama, pamoja na kichwa na mafuta ya huyo mnyama, juu ya zile kuni zinazowaka juu ya madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha wana wa Haruni, makuhani, watazipanga kuni zilizo juu ya moto uliopo juu ya madhabahu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha makuhani hao watachukua vile vipande vya nyama, kichwa na mafuta, na kuviweka juu ya kuni juu ya madhabahu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wana wa Aroni kuhani watapanga vile vipande vya nyama, pamoja na kichwa na mafuta ya huyo mnyama juu ya zile kuni zinazowaka juu ya madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wana wa Haruni walio makuhani watapanga vile vipande vya nyama, pamoja na kichwa na mafuta ya huyo mnyama juu ya zile kuni zinazowaka juu ya madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha wana wa Haruni, makuhani, watavipanga vile vipande vya nyama, kichwa chake na mafuta yake, juu ya kuni zilizo juu ya moto uliopo juu ya madhabahu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha makuhani hao watachukua vile vipande vya nyama, kichwa na mafuta, na kuviweka juu ya kuni juu ya madhabahu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wana wa Haroni walio watambikaji na wavipange vile vipande vya nyama, hata kichwa na mafuta juu ya kuni zilizopangwa juu ya moto uliowashwa mezani pa kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha wana wa Haruni, makuhani, watazipanga kuni zilizo juu ya moto uliopo juu ya madhabahu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha makuhani hao watatwaa vile vipande vya nyama, kichwa na mafuta, na kuviweka juu ya kuni juu ya mazabahu.