Leviticus 10:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtawafundisha Waisraeli masharti yote ambayo nimewaambia kwa njia ya Mose.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na lazima mwafundishe Waisraeli amri zote ambazo Mwenyezi Mungu aliwapa kupitia Musa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena mpate kuwafundisha wana wa Israeli amri hizi zote ambazo Bwana amewaambia kwa mkono wa Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtawafundisha Waisraeli masharti yote ambayo nimewaambia kwa njia ya Mose.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na lazima mwafundishe Waisraeli amri zote ambazo BWANA aliwapa kupitia Mose.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na lazima mwafundishe Waisraeli amri zote ambazo bwana aliwapa kupitia Musa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena mpate kuwafundisha wana wa Israeli amri hizi zote ambazo BWANA amewaambia kwa mkono wa Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtawafundisha Waisraeli masharti yote ambayo nimewaambia kwa njia ya Mose.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mpate kuwafundisha hata wana wote wa Isiraeli maongozi yote, Bwana aliyowaambia kinywani mwa Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena mpate kuwafundisha wana wa Israeli amri hizi zote ambazo BWANA amewaambia kwa mkono wa Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutawafundisha Waisraeli masharti yote ambayo nimewaambia kwa njia ya Musa.