Leviticus 10:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, kwa vile damu yake haikuletwa ndani ya mahali patakatifu, ni dhahiri iliwapasa kumla ndani ya mahali patakatifu kama nilivyoamuru.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa damu yake haikuletwa ndani ya Mahali Patakatifu, mngemla mbuzi huyo katika sehemu ya mahali patakatifu kama nilivyoagiza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalieni, hiyo damu yake haikuletwa ndani ya mahali patakatifu; iliwapasa kuila ndani ya mahali patakatifu, kama nilivyowaagiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, kwa vile damu yake haikuletwa ndani ya mahali patakatifu, ni dhahiri iliwapasa kumla ndani ya mahali patakatifu kama nilivyoamuru.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa damu yake haikuletwa ndani ya Mahali Patakatifu, mngemla mbuzi huyo ndani ya mahali patakatifu kama nilivyoagiza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa damu yake haikuletwa ndani ya Mahali Patakatifu, mngemla mbuzi huyo katika sehemu ya mahali patakatifu kama nilivyoagiza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalieni, hiyo damu yake haikuletwa ndani ya mahali patakatifu; iliwapasa kuila ndani ya mahali patakatifu, kama nilivyowaagiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, kwa vile damu yake haikuletwa ndani ya mahali patakatifu, ni dhahiri iliwapasa kumla ndani ya mahali patakatifu kama nilivyoamuru.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni, damu yake haikupelekwa Patakatifu ndani ninyi iliwapasa kuila mahali patakatifu, kama nilivyoagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalieni, hiyo damu yake haikuletwa ndani ya mahali patakatifu; iliwapasa kuila ndani ya mahali patakatifu, kama nilivyowaagiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, kwa vile damu yake haikuletwa ndani ya Pahali Patakatifu, mulipaswa kumukulia ndani ya Pahali Patakatifu kama vile nilivyoamuru.