Leviticus 10:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aroni akamwambia Mose, “Tazama, leo wametolea sadaka yao ya kuondoa dhambi na sadaka ya kuteketezwa mbele ya Mwenyezi-Mungu; hata hivyo mambo haya yamenipata! Tena kama ningekula ile sadaka ya kuondoa dhambi hivi leo, je, ingekubalika mbele ya Mwenyezi-Mungu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haruni akamjibu Musa, “Leo wanangu wametoa sadaka zao za dhambi na sadaka zao za kuteketezwa mbele za Mwenyezi Mungu, lakini mambo kama haya yamenitokea mimi. Je, Mwenyezi Mungu angependezwa kama ningekuwa nimekula sadaka ya dhambi leo?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haruni akamwambia Musa, Angalia, hivi leo wamesongeza sadaka yao ya dhambi, na sadaka yao ya kuteketezwa, mbele za Bwana; kisha mambo kama haya yamenipata; tena kama ningalikula hiyo sadaka ya dhambi hivi leo, je! Lingekuwa ni jambo la kupendeza mbele za macho ya Bwana?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aroni akamwambia Mose, “Tazama, leo wametolea sadaka yao ya kuondoa dhambi na sadaka ya kuteketezwa mbele ya Mwenyezi-Mungu; hata hivyo mambo haya yamenipata! Tena kama ningekula ile sadaka ya kuondoa dhambi hivi leo, je, ingekubalika mbele ya Mwenyezi-Mungu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aroni akamjibu Mose, “Leo wanangu wametoa sadaka zao za dhambi na sadaka zao za kuteketezwa mbele za BWANA, lakini mambo kama haya yamenitokea mimi. Je, BWANA angependezwa kama ningekuwa nimekula sadaka ya dhambi leo?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haruni akamjibu Musa, “Leo wanangu wametoa sadaka zao za dhambi na sadaka zao za kuteketezwa mbele za bwana, lakini mambo kama haya yamenitokea mimi. Je, bwana angependezwa kama ningekuwa nimekula sadaka ya dhambi leo?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haruni akamwambia Musa, Angalia, hivi leo wamesongeza sadaka yao ya dhambi, na sadaka yao ya kuteketezwa, mbele za BWANA; kisha mambo kama haya yamenipata; tena kama ningalikula hiyo sadaka ya dhambi hivi leo, je! Lingekuwa ni jambo la kupendeza mbele za macho ya BWANA?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aroni akamwambia Mose, “Tazama, leo wametolea sadaka yao ya kuondoa dhambi na sadaka ya kuteketezwa mbele ya Mwenyezi-Mungu; hata hivyo mambo haya yamenipata! Tena kama ningekula ile sadaka ya kuondoa dhambi hivi leo, je, ingekubalika mbele ya Mwenyezi-Mungu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haroni akamwambia Mose: Tazama, leo walipozitoa ng'ombe zao za tambiko za weuo na za kuteketezwa nzima mbele ya Bwana, yalinipata mambo kama hayo! Kama leo ningalikula ng'ombe ya tambiko ya weuo, sijui, kama ingalifaa machoni pake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haruni akamwambia Musa, Angalia, hivi leo wamesongeza sadaka yao ya dhambi, na sadaka yao ya kuteketezwa, mbele za BWANA; kisha mambo kama haya yamenipata; tena kama ningalikula hiyo sadaka ya dhambi hivi leo, je! Lingekuwa ni jambo la kupendeza mbele za macho ya BWANA?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haruni akamwambia Musa: Angalia, leo wametolea sadaka yao ya kuondoa zambi na sadaka ya kuteketezwa mbele ya Yawe; hata hivyo mambo haya yamenipata! Tena kama ningekula ile sadaka kwa ajili ya zambi hivi leo, ingekubalika mbele ya Yawe?