Leviticus 10:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, moto ukatokea mbele ya Mwenyezi-Mungu, ukawateketeza hao vijana, wakafa mbele yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo moto ukaja kutoka kwa uwepo wa Mwenyezi Mungu na kuwateketeza, nao wakafa mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha moto ukatoka hapo mbele za Bwana, nao ukawala, nao wakafa mbele za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, moto ukatokea mbele ya Mwenyezi-Mungu, ukawateketeza hao vijana, wakafa mbele yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo moto ukaja kutoka katika uwepo wa BWANA na kuwaramba, nao wakafa mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo moto ukaja kutoka kwa uwepo wa bwana na kuwaramba, nao wakafa mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha moto ukatoka hapo mbele za BWANA, na ukawateketeza, nao wakafa mbele za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, moto ukatokea mbele ya Mwenyezi-Mungu, ukawateketeza hao vijana, wakafa mbele yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, moto ulipotoka mbele ya Bwana, ukawala; ndivyo, walivyokufa mbele ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha moto ukatoka hapo mbele za BWANA, nao ukawala, nao wakafa mbele za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, moto ukatokea mbele ya Yawe, ukawateketeza hao vijana, wakakufa mbele yake.