Leviticus 10:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose akawaita Mishaeli na Elsafani, wanawe Uzieli, baba mdogo wa Aroni, akawaambia waje kuondoa maiti za ndugu zao maskani na kuzipeleka nje ya kambi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akawaita Mishaeli na Elisafani, wana wa Uzieli mjomba wake Haruni, akawaambia, “Njooni hapa. Ondoeni miili ya ndugu zenu mbele ya mahali patakatifu, mkaipeleke nje ya kambi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akawaita Mishaeli na Elisafani, wana wa Uzieli mjombaye Haruni, na kuwaambia, Njoni karibu, mwachukue hawa ndugu zenu, mkawaondoe hapa mbele ya maskani, mwende nao nje ya marago.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose akawaita Mishaeli na Elsafani, wanawe Uzieli, baba mdogo wa Aroni, akawaambia waje kuondoa maiti za ndugu zao maskani na kuzipeleka nje ya kambi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akawaita Mishaeli na Elisafani, wana wa Uzieli mjomba wake Aroni, akawaambia, “Njoni hapa; itoeni miili ya binamu zenu nje ya kambi mbali na mahali patakatifu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akawaita Mishaeli na Elisafani, wana wa Uzieli mjomba wake Haruni, akawaambia, “Njooni hapa. Ondoeni miili ya ndugu zenu mbele ya mahali patakatifu, mkaipeleke nje ya kambi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akawaita Mishaeli na Elisafani, wana wa Uzieli mjombaye Haruni, na kuwaambia, Njoni karibu, mwachukue hawa ndugu zenu, mkawaondoe hapa mbele ya maskani, mwende nao nje ya kambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose akawaita Mishaeli na Elsafani, wanawe Uzieli, baba mdogo wa Aroni, akawaambia waje kuondoa maiti za ndugu zao maskani na kuzipeleka nje ya kambi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akamwita Misaeli na Elsafani, wanawe Uzieli aliyekuwa baba mdogo wa Haroni, akawaambia: Njoni, mwachukue ndugu zenu na kuwaondoa hapa Patakatifu, mwapeleke nje ya malago.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akawaita Mishaeli na Elisafani, wana wa Uzieli mjombaye Haruni, na kuwaambia, Njoni karibu, mwachukue hawa ndugu zenu, mkawaondoe hapa mbele ya maskani, mwende nao nje ya marago.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa akawaita Misaeli na Elisafani, wana wa Uzieli, baba mudogo wa Haruni, akawaambia wakuje kuondoa maiti za wandugu zao kutoka Pahali Patakatifu na kuzipeleka inje ya kambi.