Leviticus 10:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakachukua maiti za ndugu zao na kuzipeleka nje ya kambi wakiwa wamevaa mavazi yao, kama Mose alivyoamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo wakaja na kuwaondoa, wakiwa bado wamevalia makoti yao ya ibada, wakawapeleka nje ya kambi, kama Musa alivyoamuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakaja karibu, na kuwachukua, hali wamevaa nguo zao, wakawachukua nje ya marago; kama Musa alivyosema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakachukua maiti za ndugu zao na kuzipeleka nje ya kambi wakiwa wamevaa mavazi yao, kama Mose alivyoamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo wakaja na kuwaondoa, wakiwa wamevalia makoti yao ya ibada, wakawapeleka nje ya kambi, kama Mose alivyoamuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo wakaja na kuwaondoa, wakiwa bado wamevalia makoti yao ya ibada, wakawapeleka nje ya kambi, kama Musa alivyoamuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakaja karibu, na kuwachukua, wakiwa wamevaa nguo zao, wakawachukua nje ya kambi; kama Musa alivyosema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakachukua maiti za ndugu zao na kuzipeleka nje ya kambi wakiwa wamevaa mavazi yao, kama Mose alivyoamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaja, wakawachukua kwa shati zao na kuwapeleka nje ya malago, kama Mose alivyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakaja karibu, na kuwachukua, hali wamevaa nguo zao, wakawachukua nje ya marago; kama Musa alivyosema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakatwaa maiti za wandugu zao na kuzipeleka inje ya kambi wakiwa wamevaa nguo zao, kama vile Musa alivyoamuru.