Leviticus 11:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chochote kinachoishi majini ambacho hakina mapezi na magamba ni najisi kwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chochote kinachoishi ndani ya maji ambacho hakina mapezi na magamba kitakuwa chukizo kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila asiye na mapezi wala magamba aliye ndani ya maji ni machukizo kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chochote kinachoishi majini ambacho hakina mapezi na magamba ni najisi kwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Cho chote kinachoishi ndani ya maji ambacho hakina mapezi na magamba kitakuwa chukizo kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chochote kinachoishi ndani ya maji ambacho hakina mapezi na magamba kitakuwa chukizo kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila asiye na mapezi wala magamba aliye ndani ya maji ni machukizo kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chochote kinachoishi majini ambacho hakina mapezi na magamba ni najisi kwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wote waliomo majini wasio wenye mapezi na magamba wawe tapisho kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila asiye na mapezi wala magamba aliye ndani ya maji ni machukizo kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chochote kinachoishi ndani ya maji ambacho hakina mapezi na magamba ni kichafu kwenu.