Leviticus 11:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wawaambie Waisraeli hivi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambieni Waisraeli: ‘Kati ya wanyama wote wanaoishi juu ya nchi, hawa ndio mtakaowala:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neneni na wana wa Israeli, mkiwaambia, Wanyama hawa ndio wanyama wenye uhai mtakaowala, katika hayawani wote walio juu ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wawaambie Waisraeli hivi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waambie Waisraeli: ‘Kati ya wanyama wote waishio juu ya nchi, hawa ndio mtakaowala:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waambieni Waisraeli: ‘Kati ya wanyama wote waishio juu ya nchi, hawa ndio mtakaowala:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neneni na wana wa Israeli, mkiwaambia, Wanyama hawa ndio wanyama wenye uhai mtakaowala, katika hayawani wote walio juu ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wawaambie Waisraeli hivi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waambieni wana wa Israeli kwamba: Katika nyama wote walioko nchini mtakula hawa wenye miguu minne:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neneni na wana wa Israeli, mkiwaambia, Wanyama hawa ndio wanyama wenye uhai mtakaowala, katika hayawani wote walio juu ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wawaambie Waisraeli hivi: