Leviticus 11:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wadudu wote wenye mabawa na waendao kwa miguu minne, hao ni najisi kwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Wadudu wote warukao ambao hutembea kwa miguu minne watakuwa chukizo kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena vyote vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne, hivi ni machukizo kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wadudu wote wenye mabawa na waendao kwa miguu minne, hao ni najisi kwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Wadudu wote warukao wale watembeao kwa miguu minne watakuwa chukizo kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Wadudu wote warukao ambao hutembea kwa miguu minne watakuwa chukizo kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena vyote vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne, hivi ni machukizo kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wadudu wote wenye mabawa na waendao kwa miguu minne, hao ni najisi kwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wadudu wote wenye mabawa wanaokwenda kwa miguu minne wawe tapisho kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena vyote vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne, hivi ni machukizo kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wadudu wote wenye mabawa na wanaotembea kwa miguu mine, hao ni wachafu kwenu.