Leviticus 11:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao ni: Kila aina ya nzige, kila aina ya senene, kila aina ya panzi na kila aina ya parare.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miongoni mwa hawa, mtakula nzige wa aina zote, senene, parare au panzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
katika hao mna ruhusa kuwala; nzige kwa aina zake, na nzige kuu kwa aina zake, na panzi kwa aina zake, na parare kwa aina zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao ni: kila aina ya nzige, kila aina ya senene, kila aina ya panzi na kila aina ya parare.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miongoni mwa hawa, mtakula nzige wa aina zote, senene, parare au panzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miongoni mwa hawa, mtakula nzige wa aina zote, senene, parare au panzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
katika hao mna ruhusa kuwala; nzige kwa aina zake, na nzige kuu kwa aina zake, na panzi kwa aina zake, na parare kwa aina zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao ni: Kila aina ya nzige, kila aina ya senene, kila aina ya panzi na kila aina ya parare.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtakaowala miongoni mwao, ndio panzi na ndugu zao na nzige na ndugu zao na senene na ndugu zao na funutu na ndugu zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
katika hao mna ruhusa kuwala; nzige kwa aina zake, na nzige kuu kwa aina zake, na panzi kwa aina zake, na parare kwa aina zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)