Leviticus 11:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu yeyote anayebeba mzoga atakuwa najisi, naye atasafisha mavazi yake. Hao ni najisi kwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote atakayebeba mizoga yao ni lazima afue nguo zake, naye atakuwa najisi hadi jioni. Wanyama hawa ni najisi kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na huyo atakayechukua mzoga wa wanyama hao atafua nguo zake, naye atakuwa ni najisi hata jioni; hao ni najisi kwenu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu yeyote anayebeba mzoga atakuwa najisi, naye atasafisha mavazi yake. Hao ni najisi kwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote atakayebeba mizoga yao ni lazima afue nguo zake na atakuwa najisi mpaka jioni. Wanyama hawa ni najisi kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote atakayebeba mizoga yao ni lazima afue nguo zake, naye atakuwa najisi mpaka jioni. Wanyama hawa ni najisi kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na huyo atakayechukua mzoga wa wanyama hao atafua nguo zake, naye atakuwa ni najisi hata jioni; hao ni najisi kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu yeyote anayebeba mzoga atakuwa najisi, naye atasafisha mavazi yake. Hao ni najisi kwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye atakayechukua mizoga yao sharti azifue nguo zake, naye atakuwa mwenye uchafu mpaka jioni. Hao ndio walio wachafu kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na huyo atakayechukua mzoga wa wanyama hao atafua nguo zake, naye atakuwa ni najisi hata jioni; hao ni najisi kwenu
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote anayebeba muzoga atakuwa muchafu mpaka magaribi, naye atasafisha nguo zake. Hao ni wachafu kwenu.