Leviticus 11:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Viumbe vifuatavyo ni najisi kwenu: Kicheche, panya, kila aina ya mjombakaka,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kuhusu wanyama watambaao juu ya ardhi, hawa ni najisi kwenu: kicheche, panya, aina yoyote ya mijusi mikubwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena katika vitu vile vitambaavyo, vitambaavyo juu ya nchi, hivi ni najisi kwenu; kicheche, na panya, na mjombakaka, kwa aina zake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Viumbe vifuatavyo ni najisi kwenu: kicheche, panya, kila aina ya mjombakaka,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kuhusu wanyama watambaao juu ya ardhi, hawa ni najisi kwenu: kicheche, panya, aina yo yote ya mijusi mikubwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kuhusu wanyama watambaao juu ya ardhi, hawa ni najisi kwenu: kicheche, panya, aina yoyote ya mijusi mikubwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miongoni mwa viumbe watambaao juu ya nchi, hawa ni najisi kwenu; kicheche, panya na mjombakaka kwa aina zake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Viumbe vifuatavyo ni najisi kwenu: Kicheche, panya, kila aina ya mjombakaka,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena katika nyama wadogo wanaotambaa juu ya nchi ndio hawa watakaokuwa wachafu kwenu: Fuko na panya ma mjusi na ndugu zao:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena katika vitu vile vitambaavyo, vitambaavyo juu ya nchi, hivi ni najisi kwenu; kicheche, na panya, na mjombakaka, kwa aina zake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Viumbe hivi ni vichafu kwenu: fuko, panya, kila aina ya mujusi,