Leviticus 11:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kati ya wanyama wote duniani, mmeruhusiwa kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwaweza kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila mnyama mwenye kwato katika miguu yake, mwenye miguu ya kupasuka kati, mwenye kucheua, katika hayawani, hao ndio mtakaowala.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kati ya wanyama wote duniani, mmeruhusiwa kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwaweza kula mnyama ye yote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwaweza kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila mnyama mwenye kwato katika miguu yake, mwenye miguu iliyopasuka kati, mwenye kucheua, katika hayawani, hao ndio mtakaowala.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kati ya wanyama wote duniani, mmeruhusiwa kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wote wenye kwato zilizopasuka na kutengeka kabisa, kama ni wenye kucheua, mtawala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila mnyama mwenye kwato katika miguu yake, mwenye miguu ya kupasuka kati, mwenye kucheua, katika hayawani, hao ndio mtakaowala.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kati ya nyama wote katika dunia, mumeruhusiwa kula nyama yeyote mwenye kwato zinazogawanyika sehemu mbili na ambaye anacheua.