Leviticus 11:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chakula au kinywaji chochote kilichokuwa ndani ya chombo hicho kitakuwa najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chakula chochote ambacho chaweza kuliwa lakini kikawa kimeingia maji kutoka chungu hicho ni najisi, na kitu chochote cha majimaji ambacho chaweza kunyweka kutoka chungu hicho ni najisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila chakula kilichomo, ambacho ni kuliwa, hicho ambacho maji hutumiwa juu yake, kitakuwa ni najisi; na kila kinyweo ambacho ni cha kunywewa, kilichomo katika chombo kama hicho, kitakuwa ni najisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chakula au kinywaji chochote kilichokuwa ndani ya chombo hicho kitakuwa najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chakula cho chote ambacho chaweza kuliwa lakini kikawa kimeingia maji kutoka kwenye chungu hicho ni najisi na kitu cho chote cha majimaji ambacho chaweza kunyweka kutoka kwenye chungu hicho ni najisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chakula chochote ambacho chaweza kuliwa lakini kikawa kimeingia maji kutoka kwenye chungu hicho ni najisi, na kitu chochote cha majimaji ambacho chaweza kunyweka kutoka kwenye chungu hicho ni najisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Chakula chochote cha kuliwa kitakuwa najisi kikitiwa maji ya chombo hicho; na kila kinyweo ambacho ni cha kunywewa, kilichomo katika chombo kama hicho, kitakuwa ni najisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chakula au kinywaji chochote kilichokuwa ndani ya chombo hicho kitakuwa najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vilaji vyote vinavyoliwa vikiingiwa na maji kama hayo ni vyenye uchafu; navyo vinywaji vyote vinavyonywewa vikiwa katika chombo kama hicho ni vyenye uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila chakula kilichomo, ambacho ni kuliwa, hicho ambacho maji hutumiwa juu yake, kitakuwa ni najisi; na kila kinyweo ambacho ni cha kunywewa, kilichomo katika chombo kama hicho, kitakuwa ni najisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chakula au kinywaji chochote kilichokuwa ndani ya chombo hicho kitakuwa kichafu.