Leviticus 11:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo, kisima au chemchemi ya maji vitakuwa safi. Lakini chochote kinachogusa mzoga kitakuwa najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini chemchemi au kisima, mahali yanapokusanyika maji, patakuwa safi; lakini yeyote atakayegusa moja ya mizoga hii ni najisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pamoja na hayo, chemchemi, au shimo, ambamo maji yakusanyika, vitakuwa ni safi; lakini hicho kitakachogusa mizoga yao kitakuwa ni najisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo, kisima au chemchemi ya maji vitakuwa safi. Lakini chochote kinachogusa mzoga kitakuwa najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini chemchemi au kisima, mahali pa kuchota maji, patakuwa safi, lakini ye yote atakayegusa moja ya mizoga hii ni najisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini chemchemi au kisima, mahali pa kuchota maji, patakuwa safi, lakini yeyote atakayegusa moja ya mizoga hii ni najisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pamoja na hayo, chemchemi, au shimo, ambamo maji yakusanyika, vitakuwa ni safi; lakini hicho kitakachogusa mizoga yao kitakuwa ni najisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo, kisima au chemchemi ya maji vitakuwa safi. Lakini chochote kinachogusa mzoga kitakuwa najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini chemchemi na mashimo, maji yalimokusanyika, yatakuwa yametakata; lakini atakayeigusa mizoga yao akiyatoa humo atakuwa mwenye uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pamoja na hayo, chemchemi, au shimo, ambamo maji yakusanyika, vitakuwa ni safi; lakini hicho kitakachogusa mizoga yao kitakuwa ni najisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo, kisima au chemichemi ya maji vitakuwa safi. Lakini kitu chochote kinachogusa muzoga kitakuwa kichafu.