Leviticus 11:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Iwapo sehemu ya mzoga inaziangukia mbegu za kupanda, mbegu hizo hazitakuwa najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mzoga ukianguka juu ya mbegu zozote ambazo ni za kupanda, zinabaki safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kipande cho chote cha mzoga kikiwa kimeangukia mbegu za kupandwa zitakazopandwa, zitakuwa safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Iwapo sehemu ya mzoga inaziangukia mbegu za kupanda, mbegu hizo hazitakuwa najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mzoga ukianguka juu ya mbegu zo zote ambazo ni za kupanda, zinabaki safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mzoga ukianguka juu ya mbegu zozote ambazo ni za kupanda, zinabaki safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kipande chochote cha mzoga kikiwa kimeangukia mbegu za kupandwa, zitakazopandwa zitakuwa safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Iwapo sehemu ya mzoga inaziangukia mbegu za kupanda, mbegu hizo hazitakuwa najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kama mzoga mmoja miongoni mwao utaangukia mbegu zo zote za kupanda, watu wanazotaka kuzipanda, zitakuwa zimetakata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kipande cho chote cha mzoga kikiwa kimeangukia mbegu za kupandwa zitakazopandwa, zitakuwa safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa sehemu ya muzoga inaangukia mbegu za kupanda, mbegu hizo hazitakuwa chafu.