Leviticus 11:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kiumbe chochote kitambaacho duniani ni najisi kwenu, kamwe msikile.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kila kiumbe kinachotambaa juu ya ardhi ni chukizo; kisiliwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kila kitu kitambaacho juu ya nchi ni machukizo; hakitaliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kiumbe chochote kitambaacho duniani ni najisi kwenu, kamwe msikile.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kila kiumbe kitambaacho juu ya ardhi ni chukizo; kisiliwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kila kiumbe kitambaacho juu ya ardhi ni chukizo; kisiliwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kila kiumbe kitambaacho juu ya nchi ni machukizo; hakitaliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kiumbe chochote kitambaacho duniani ni najisi kwenu, kamwe msikile.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyama wadogo wanaotambaa juu ya nchi wote pia wawe tapisho kwenu, wasiliwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kila kitu kitambaacho juu ya nchi ni machukizo; hakitaliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiumbe chochote kinachotambaa katika dunia ni chukizo kwenu, musikikule.