Leviticus 11:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chochote kiendacho kwa tumbo lake, chochote kiendacho kwa miguu yote minne au nyayo nyingi, naam, chochote kitambaacho, kamwe msikile kwa maana ni najisi kwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msile kiumbe chochote kinachotambaa juu ya ardhi, kiwe kinachotambaa kwa tumbo lake, au kinachotambaa kwa miguu minne au kwa miguu mingi; ni chukizo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila aendaye kwa tumbo lake, na kila aendaye kwa miguu minne, na kila aendaye kwa miguu mingi, maana, ni vyote vyenye kutambaa vitambaavyo juu ya nchi, hamtavila, kwa kuwa ni machukizo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chochote kiendacho kwa tumbo lake, chochote kiendacho kwa miguu yote minne au nyayo nyingi, naam, chochote kitambaacho, kamwe msikile kwa maana ni najisi kwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msile kiumbe cho chote kitambaacho juu ya ardhi, kiwe kitambaacho kwa tumbo lake au kitambaacho kwa miguu minne au kwa miguu mingi; ni chukizo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msile kiumbe chochote kitambaacho juu ya ardhi, kiwe kitambaacho kwa tumbo lake, au kitambaacho kwa miguu minne au kwa miguu mingi; ni chukizo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila aendaye kwa tumbo lake, na kila aendaye kwa miguu minne, na kila aendaye kwa miguu mingi, maana, ni vyote vyenye kutambaa vitambaavyo juu ya nchi, hamtavila, kwa kuwa ni machukizo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chochote kiendacho kwa tumbo lake, chochote kiendacho kwa miguu yote minne au nyayo nyingi, naam, chochote kitambaacho, kamwe msikile kwa maana ni najisi kwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote wanaojikokota tumboni nao wote wanaokwenda kwa miguu minne nao wote wenye miguu mingi zaidi, wale wadudu wote wanaotambaa juu ya nchi msiwale, kwani ndio tapisho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila aendaye kwa tumbo lake, na kila aendaye kwa miguu minne, na kila aendaye kwa miguu mingi, maana, ni vyote vyenye kutambaa vitambaavyo juu ya nchi, hamtavila, kwa kuwa ni machukizo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chochote kinachotambaa kwa tumbo lake, chochote kinachotembea kwa miguu mine au miguu mingi, musikikule kwa maana ni chukizo.