Leviticus 11:43 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo msije mkawa najisi kwa kula viumbe vitambaavyo na hivyo mkawa najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msijitie unajisi kwa kiumbe chochote kati ya hivi. Msijitie unajisi kwa viumbe hivyo au kutiwa unajisi navyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msifanye nafsi zenu kuwa ni chukizo kwa kitu cho chote chenye kutambaa, kitambaacho, wala msifanye nafsi zenu kuwa ni najisi kwa vitu hivyo, mkajipatia uchafu kwa hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo msije mkawa najisi kwa kula viumbe vitambaavyo na hivyo mkawa najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msijitie unajisi kwa cho chote katika viumbe hivi. Msijitie unajisi kwa viumbe hivyo na hivyo ninyi wenyewe kuwa najisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msijitie unajisi kwa chochote katika viumbe hivi. Msijitie unajisi kwa viumbe hivyo au kutiwa unajisi navyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msifanye nafsi zenu kuwa ni chukizo kwa kitu chochote chenye kutambaa, kitambaacho, wala msifanye nafsi zenu kuwa ni najisi kwa vitu hivyo, mkajipatia uchafu kwa hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo msije mkawa najisi kwa kula viumbe vitambaavyo na hivyo mkawa najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msijifanye wenyewe kuwa tapisho kwa ajili ya hao wadudu watambaao, wala msijipatie uchafu kwa ajili yao mkichafuliwa nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msifanye nafsi zenu kuwa ni chukizo kwa kitu cho chote chenye kutambaa, kitambaacho, wala msifanye nafsi zenu kuwa ni najisi kwa vitu hivyo, mkajipatia uchafu kwa hivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo musijifanye kuwa chukizo kwa kula viumbe vinavyotambaa na hivyo kujichafua navyo.