Leviticus 11:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ndimi niliyewatoa nchini Misri ili niwe Mungu wenu; kwa hiyo muwe watakatifu kwa maana mimi ni mtakatifu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi ndimi Mwenyezi Mungu niliyewapandisha mtoke Misri ili niwe Mungu wenu. Kwa hiyo kuweni watakatifu kwa sababu Mimi ni mtakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa mimi ni Bwana niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili kwamba niwe Mungu wenu; basi mtakuwa watakatifu, kwa kuwa mimi ni Mtakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ndimi niliyewatoa nchini Misri ili niwe Mungu wenu; kwa hiyo muwe watakatifu kwa maana mimi ni mtakatifu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi ndimi BWANA niliyewapandisha mtoke Misri ili niwe Mungu wenu; kwa hiyo iweni watakatifu kwa sababu Mimi ni mtakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi ndimi bwana niliyewapandisha mtoke Misri ili niwe Mungu wenu. Kwa hiyo kuweni watakatifu kwa sababu Mimi ni mtakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa mimi ni BWANA niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili kwamba niwe Mungu wenu; basi mtakuwa watakatifu, kwa kuwa mimi ni Mtakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ndimi niliyewatoa nchini Misri ili niwe Mungu wenu; kwa hiyo muwe watakatifu kwa maana mimi ni mtakatifu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mimi ndiye Bwana aliyewatoa ninyi katika nchi ya Misri na kuwapandisha kuja huku, niwe Mungu wenu; kwa hiyo sharti mwe watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa mimi ni BWANA niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili kwamba niwe Mungu wenu; basi mtakuwa watakatifu, kwa kuwa mimi ni Mtakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu ni mimi Yawe niliyewatoa katika inchi ya Misri kusudi nikuwe Mungu wenu; kwa hiyo mukuwe watakatifu kwa maana mimi ni mutakatifu.