Leviticus 11:46 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiyo basi, ndiyo sheria kuhusu wanyama, ndege na viumbe vyote hai ambavyo huishi majini na nchi kavu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Haya ndio masharti kuhusu wanyama, ndege, kila kiumbe hai kiendacho ndani ya maji, na kila kiumbe kiendacho juu ya ardhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hii ndiyo sheria katika hao wanyama, na ndege, na kila kiumbe kilicho hai, kiendacho ndani ya maji, na kila kiumbe kitambaacho juu ya nchi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiyo basi, ndiyo sheria kuhusu wanyama, ndege na viumbe vyote hai ambavyo huishi majini na nchi kavu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Haya ndiyo masharti kuhusu wanyama, ndege, kila kiumbe hai kiendacho ndani ya maji na kila kiumbe kiendacho juu ya ardhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Haya ndiyo masharti kuhusu wanyama, ndege, kila kiumbe hai kiendacho ndani ya maji, na kila kiumbe kiendacho juu ya ardhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hii ndiyo sheria katika hao wanyama, na ndege, na kila kiumbe kilicho hai, kiendacho ndani ya maji, na kila kiumbe kitambaacho juu ya nchi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiyo basi, ndiyo sheria kuhusu wanyama, ndege na viumbe vyote hai ambavyo huishi majini na nchi kavu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maonyo ya kufundisha mambo ya nyama na ya ndege na ya viumbe vyote vyenye uzima vinavyotembea majini na ya wadudu wote watambaao juu ya nchi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hii ndiyo sheria katika hao wanyama, na ndege, na kila kiumbe kilicho hai, kiendacho ndani ya maji, na kila kiumbe kitambaacho juu ya nchi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiyo basi, ndiyo sheria kuelekea nyama, ndege na viumbe vyote vyenye uzima ambavyo vinaishi ndani ya maji na inchi kavu,