Leviticus 11:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pelele msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pelele ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wibari, kwa sababu yeye hucheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pelele msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pelele, ingawa hucheua, lakini hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pelele ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wibari, kwa sababu yeye hucheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pelele msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pelele; naye anacheua, lakini hazipasui kwato, kwa hiyo ni mwiko kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wibari, kwa sababu yeye hucheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikule wibari. Yeye anacheua lakini kwato zake hazigawanyiki. Kwenu huyo ni muchafu.