Leviticus 11:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sungura msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sungura ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sungura, kwa sababu hucheua, lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sungura msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sungura, ingawa hucheua lakini hana kwato zilizogawanyika; ni najisi kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sungura ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sungura, kwa sababu hucheua, lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sungura msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sungura; naye anacheua, lakini hazipasui kwato, kwa hiyo ni mwiko kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sungura, kwa sababu hucheua, lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikule sungura. Yeye anacheua lakini kwato zake hazigawanyiki. Kwenu huyo ni muchafu.