Leviticus 11:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye nguruwe ingawa anazo kwato zilizogawanyika sehemu mbili, hacheui; huyo ni najisi kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye nguruwe ingawa anazo kwato zilizogawanyika sehemu mbili, lakini hacheui; ni najisi kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye nguruwe ingawa anazo kwato zilizogawanyika sehemu mbili, hacheui; huyo ni najisi kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nguruwe; kweli anazipasua kwato na kuzitenga kabisa, lakini hacheui, kwa hiyo ni mwiko kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikule nguruwe. Yeye ana kwato zinazogawanyika lakini hacheui. Kwenu huyo ni muchafu.