Leviticus 11:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Samaki yeyote wa baharini au mtoni mwenye mapezi na magamba, mnaweza kumla.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kuhusu viumbe wote wanaoishi ndani ya maji ya bahari na vijito, mtakula wale wote wenye mapezi na magamba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika hao wote walio ndani ya maji mtakula hawa; kila aliye na mapezi na magamba, ndani ya hayo maji, na ndani ya bahari, na ndani ya mito, mtakula hao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Samaki yeyote wa baharini au mtoni mwenye mapezi na magamba, mnaweza kumla.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kuhusu viumbe vyote vinavyoishi ndani ya maji ya bahari na vijito, mtakula wale wote wenye mapezi na magamba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kuhusu viumbe wote wanaoishi ndani ya maji ya bahari na vijito, mtakula wale wote wenye mapezi na magamba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika hao wote walio ndani ya maji mtakula hawa; kila aliye na mapezi na magamba, ndani ya hayo maji, na ndani ya bahari, na ndani ya mito, mtakula hao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Samaki yeyote wa baharini au mtoni mwenye mapezi na magamba, mnaweza kumla.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika nyama wote waliomo majini mtakula hawa: wote wenye mapezi na magamba waliomo majini baharini na mitoni mtawala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika hao wote walio ndani ya maji mtakula hawa; kila aliye na mapezi na magamba, ndani ya hayo maji, na ndani ya bahari, na ndani ya mito, mtakula hao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samaki yeyote wa bahari au muto mwenye mapezi na magamba, munaweza kumukula.