Leviticus 12:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtoto huyo atatahiriwa katika siku yake ya nane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye huyo mtoto atatahiriwa siku ya nane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku nane mtoto atatahiriwa govi ya zunga lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtoto huyo atatahiriwa katika siku yake ya nane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mvulana atatahiriwa siku ya nane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mvulana atatahiriwa siku ya nane.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya nane mtoto atatahiriwa govi ya zunga lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtoto huyo atatahiriwa katika siku yake ya nane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya nane mtoto na atahiriwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku nane mtoto atatahiriwa govi ya zunga lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutoto huyo atatahiriwa katika siku yake ya nane.