Leviticus 13:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani atamwangalia na kama kuna uvimbe mweupe ambao umezifanya nywele zake ziwe nyeupe na uvimbe huo umegeuka kuwa kidonda kibichi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani atamchunguza na kama kuna uvimbe mweupe katika ngozi ambao umefanya nywele kuwa nyeupe, na kama kuna nyama mbichi ndani ya uvimbe,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuhani ataangalia, na tazama, ikiwa pana kivimbe cheupe katika ngozi yake, na malaika yamegeuzwa kuwa meupe, tena ikiwa pana nyama mbichi iliyomea katika kile kivimbe,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani atamwangalia na kama kuna uvimbe mweupe ambao umezifanya nywele zake ziwe nyeupe na uvimbe huo umegeuka kuwa kidonda kibichi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani atamchunguza na kama kuna uvimbe mweupe juu ya ngozi ambao umefanya nywele kuwa nyeupe na kama kuna nyama mbichi ndani ya uvimbe,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani atamchunguza na kama kuna uvimbe mweupe juu ya ngozi ambao umefanya nywele kuwa nyeupe, na kama kuna nyama mbichi ndani ya uvimbe,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye kuhani ataangalia, ikiwa pana uvimbe mweupe katika ngozi yake, na nywele zimegeuka kuwa nyeupe, tena ikiwa panafanyika kidonda katika ule uvimbe,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani atamwangalia na kama kuna uvimbe mweupe ambao umezifanya nywele zake ziwe nyeupe na uvimbe huo umegeuka kuwa kidonda kibichi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji akimtazama akiona kivimbe cheupe penye ngozi, akiona tena, ya kama hapo nywele zimegeuka kuwa nyeupe, akiona tena, ya kama nyama mbichi zimeota nyingi ndani ya kile kivimbe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuhani ataangalia, na tazama, ikiwa pana kivimbe cheupe katika ngozi yake, na malaika yamegeuzwa kuwa meupe, tena ikiwa pana nyama mbichi iliyomea katika kile kivimbe,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani atamwangalia na kama kivimba cheupe ambacho kimefanya nywele zake zikuwe nyeupe na kivimba kile kimegeuka kuwa kidonda kibichi,