Leviticus 13:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
huo ni ukoma wa muda mrefu. Kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi. Hakuna haja ya kumweka mtu huyo kwa uchunguzi kwani yu najisi tayari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ni ugonjwa sugu wa ngozi, na kuhani atamtangaza kuwa najisi. Hatamtenga tena kwa sababu ni najisi tayari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ni ukoma wa zamani ulio katika ngozi ya mwili wake, na kuhani atasema kuwa yu najisi; hatamweka mahali, kwa kuwa yeye yuna unajisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
huo ni ukoma wa muda mrefu. Kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi. Hakuna haja ya kumweka mtu huyo kwa uchunguzi kwani yu najisi tayari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ni ugonjwa sugu wa ngozi na kuhani atamtangaza kuwa najisi. Hatamtenga tena kwa sababu ni najisi tayari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ni ugonjwa sugu wa ngozi, na kuhani atamtangaza kuwa najisi. Hatamtenga tena kwa sababu ni najisi tayari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ni ukoma usiopona ulio katika ngozi ya mwili wake, na kuhani atasema kuwa ni najisi; hatamweka mahali, kwa kuwa yeye ana unajisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
huo ni ukoma wa muda mrefu. Kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi. Hakuna haja ya kumweka mtu huyo kwa uchunguzi kwani yu najisi tayari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, ndio ukoma wa kale hapo penye ngozi ya mwili wake, naye mtambikaji hana budi kusema, ya kama ni mwenye uchafu pasipo kufungia, kwani ni mwenye uchafu kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ni ukoma wa zamani ulio katika ngozi ya mwili wake, na kuhani atasema kuwa yu najisi; hatamweka mahali, kwa kuwa yeye yuna unajisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
huo ni ukoma wa muda murefu. Kuhani atamutangaza mutu yule kuwa muchafu. Hatamutenga mutu yule kwa uchunguzi maana yeye ni muchafu.