Leviticus 13:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kukionekana mwilini mwa mtu huyo kidonda kibichi, basi, mtu huyo atakuwa najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini itokeapo nyama mbichi kwenye ngozi yake, atakuwa najisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini po pote itakapoonekana nyama mbichi kwake mtu huyo, atakuwa yu najisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kukionekana mwilini mwa mtu huyo kidonda kibichi, basi, mtu huyo atakuwa najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini itokeapo nyama mbichi kwenye ngozi yake atakuwa najisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini itokeapo nyama mbichi kwenye ngozi yake, atakuwa najisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini popote kitakapoonekana kidonda kibichi kwake mtu huyo, atakuwa yu najisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kukionekana mwilini mwa mtu huyo kidonda kibichi, basi, mtu huyo atakuwa najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini siku hiyo, nyama mbichi itakapoonekana kwake atakuwa mwenye uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini po pote itakapoonekana nyama mbichi kwake mtu huyo, atakuwa yu najisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kukionekana juu ya mwili wa mutu yule kidonda kibichi, basi, mutu yule atakuwa muchafu.