Leviticus 13:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani ataangalia hicho kidonda kibichi na kumtangaza kuwa ni najisi kwa sababu huo ni ukoma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani atakapoiona hiyo nyama mbichi, atamtangaza mtu huyo kuwa najisi. Hiyo nyama mbichi ni najisi, ana ugonjwa wa kuambukiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuhani ataiangalia hiyo nyama mbichi, naye atasema kuwa yu najisi; ile nyama mbichi ni najisi; ni ukoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani ataangalia hicho kidonda kibichi na kumtangaza kuwa ni najisi kwa sababu huo ni ukoma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani atakapoiona hiyo nyama mbichi atamtangaza mtu huyo kuwa najisi. Hiyo nyama mbichi ni najisi, ana ugonjwa wa kuambukiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani atakapoiona hiyo nyama mbichi, atamtangaza mtu huyo kuwa najisi. Hiyo nyama mbichi ni najisi, ana ugonjwa wa kuambukiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuhani atakiangalia hicho kidonda kibichi, naye atasema kuwa ni najisi; kile kidonda kibichi ni najisi; ni ukoma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani ataangalia hicho kidonda kibichi na kumtangaza kuwa ni najisi kwa sababu huo ni ukoma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mtambikaji akiiona hiyo nyama mbichi hana budi kusema, ya kama ni mwenye uchafu; kwa kuwa hiyo nyama mbichi ni yenye uchafu, ndio ukoma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuhani ataiangalia hiyo nyama mbichi, naye atasema kuwa yu najisi; ile nyama mbichi ni najisi; ni ukoma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani ataangalia hicho kidonda kibichi na kumutangaza kuwa ni muchafu kwa sababu huo ni ukoma.