Leviticus 13:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hicho kidonda kikigeuka tena kuwa cheupe, mtu huyo atarudi kwa kuhani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hiyo nyama mbichi ikigeuka na kuwa nyeupe, ni lazima amwendee kuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au kama hiyo nyama mbichi iligeuka tena, na kugeuzwa kuwa nyeupe, ndipo atamwendea kuhani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hicho kidonda kikigeuka tena kuwa cheupe, mtu huyo atarudi kwa kuhani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hiyo nyama mbichi ikigeuka na kuwa nyeupe, ni lazima amwendee kuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hiyo nyama mbichi ikigeuka na kuwa nyeupe, ni lazima amwendee kuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au kama hicho kidonda kibichi kinageuka tena na kuwa cheupe, ndipo atamwendea kuhani,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hicho kidonda kikigeuka tena kuwa cheupe, mtu huyo atarudi kwa kuhani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hiyo nyama mbichi ikigeuka tena kuwa nyeupe, na afike kwa mtambikaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au kama hiyo nyama mbichi iligeuka tena, na kugeuzwa kuwa nyeupe, ndipo atamwendea kuhani,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hicho kidonda kikigeuka tena kuwa cheupe, mutu yule atarudi kwa kuhani.