Leviticus 13:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini mahali pale lilipokuwa jipu pamegeuka kuwa uvimbe mweupe au kuwa pekundu lakini peupe kiasi, ni lazima kumwonesha kuhani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
napo mahali palipokuwa na jipu pakatokea uvimbe mweupe, au alama yenye wekundu na weupe, ni lazima akajioneshe kwa kuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mahali palipokuwa na lile jipu pana kivimbe cheupe, au kipaku king'aacho, cheupe lakini chekundu kidogo, ndipo atamwonyesha kuhani mahali hapo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini mahali pale lilipokuwa jipu pamegeuka kuwa uvimbe mweupe au kuwa pekundu lakini peupe kiasi, ni lazima kumwonesha kuhani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
napo mahali palipokuwa na jipu, pakatokea uvimbe mweupe au alama yenye wekundu na weupe, ni lazima akajionyeshe kwa kuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
napo mahali palipokuwa na jipu pakatokea uvimbe mweupe, au alama yenye wekundu na weupe, ni lazima akajionyeshe kwa kuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mahali palipokuwa na lile jipu pana uvimbe mweupe, au kipaku king'aacho, cheupe lakini chekundu kidogo, ndipo atamwonesha kuhani mahali hapo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini mahali pale lilipokuwa jipu pamegeuka kuwa uvimbe mweupe au kuwa pekundu lakini peupe kiasi, ni lazima kumwonesha kuhani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena hapo, lile jipu lilipokuwa, pakitokea kivimbe cheupe au balanga jeupe lenye damudamu, sharti amtokee mtambikaji kutazamwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mahali palipokuwa na lile jipu pana kivimbe cheupe, au kipaku king’aacho, cheupe lakini chekundu kidogo, ndipo atamwonyesha kuhani mahali hapo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini pahali pale jipu lilipokuwa pamegeuka kuwa kivimba cheupe au kuwa pekundu lakini peupe, anapaswa kumwonyesha kuhani.