Leviticus 13:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama ugonjwa huo utaenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; sehemu hiyo ina ugonjwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama unaenea kwenye ngozi, kuhani atamtangaza kuwa najisi; ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kwamba pameenea katika ngozi, ndipo kuhani atasema kwamba yu najisi; hili ni pigo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama ugonjwa huo utaenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; sehemu hiyo ina ugonjwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama unaenea kwenye ngozi, kuhani atamtangaza kuwa najisi; ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama unaenea kwenye ngozi, kuhani atamtangaza kuwa najisi; ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kwamba pameenea katika ngozi, ndipo kuhani atasema kwamba ni najisi; hili ni pigo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama ugonjwa huo utaenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; sehemu hiyo ina ugonjwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, mahali pale pakiendelea katika ngozi, mtambikaji hana budi kusema, ya kama ni mwenye uchafu, kwani ndio ugonjwa ule mbaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kwamba pameenea katika ngozi, ndipo kuhani atasema kwamba yu najisi; hili ni pigo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama ugonjwa huo ukienea kwenye ngozi, basi, kuhani atamutangaza mutu yule kuwa muchafu, sehemu hiyo ina ugonjwa.