Leviticus 13:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, kama ile sehemu haijaenea, basi, lile ni kovu la jipu tu. Kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ikiwa ile alama haijabadilika wala kuenea, ni kovu tu kutokana na jipu, kuhani atamtangaza kuwa safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini ikiwa kipaku hicho king'aacho kimeshangaa pale pale, wala hakienei, ni kovu ya jipu; na kuhani atasema kwamba yu safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, kama ile sehemu haijaenea, basi, lile ni kovu la jipu tu. Kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ikiwa ile alama haijabadilika wala kuenea, ni kovu tu kutokana na jipu, kuhani atamtangaza kuwa safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ikiwa ile alama haijabadilika wala kuenea, ni kovu tu kutokana na jipu, kuhani atamtangaza kuwa safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini ikiwa kipaku hicho king'aacho kimekaa pale pale, wala hakienei, ni kovu la jipu; na kuhani atasema kwamba yu safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, kama ile sehemu haijaenea, basi, lile ni kovu la jipu tu. Kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hilo balanga likiwa lilelile hapo mahali pake, lisiendelee, basi, ndio kovu la jipu tu, naye mtambikaji hana budi kusema, ya kama ametakata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini ikiwa kipaku hicho king’aacho kimeshangaa pale pale, wala hakienei, ni kovu ya jipu; na kuhani atasema kwamba yu safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, kama ile sehemu haijaenea, basi, lile ni kovu la jipu tu. Kuhani atamutangaza mutu yule kuwa safi.