Leviticus 13:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Au, Iwapo kuna mahali palipoungua na ile nyama mbichi imegeuka kuwa nyekundu-nyeupe au ni nyeupe,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wakati mtu ameungua kwenye ngozi yake, pakatokea alama yenye wekundu na weupe, au alama nyeupe ikaonekana penye nyama mbichi pale palipoungua,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au mwili wa mtu ukiwa una mahali katika ngozi yake penye moto, na hiyo nyama iliyomea pale penye moto, kama kikiwa kipaku chekundu kidogo, au cheupe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Au, Iwapo kuna mahali palipoungua na ile nyama mbichi imegeuka kuwa nyekundu-nyeupe au ni nyeupe,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakati mtu ameungua kwenye ngozi yake pakatokea alama yenye wekundu na weupe, au alama nyeupe ikaonekana penye nyama mbichi pale palipoungua,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati mtu ameungua kwenye ngozi yake, pakatokea alama yenye wekundu na weupe, au alama nyeupe ikaonekana penye nyama mbichi pale palipoungua,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au mwili wa mtu ukiwa una mahali palipoungua katika ngozi yake, kisha pakawa kidonda, kikawa kipaku chekundu kidogo, au cheupe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Au, Iwapo kuna mahali palipoungua na ile nyama mbichi imegeuka kuwa nyekundu-nyeupe au ni nyeupe,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwili wa mtu ukiwa wenye kidonda cha moto penye ngozi yake, nazo nyama za humo kidondani zikiwa balanga jeupe lenye damudamu au jeupe lenyewe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au mwili wa mtu ukiwa una mahali katika ngozi yake penye moto, na hiyo nyama iliyomea pale penye moto, kama kikiwa kipaku chekundu kidogo, au cheupe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Au, ikiwa kuna pahali palipoungua na ile nyama mbichi imegeuka kuwa nyekundu-nyeupe au ni nyeupe,